Indirimbo ya 105 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Wakati wa Noeli nafika kwenye hori,
:/: alipolala Yesu, maskini, mtulivu.:/:
2
Mwokozi wangu mwema, kwa pendo ulifika,
:/: nitoke dhambi zangu, nipate kuwa wako:/:
3
Nakuhitaji, Yesu, rafiki wa watoto.
:/:Sitaki kuumiza kwa dhambi wewe tena.:/:
4
Nitashukuru Yesu milele na milele.
:/: maana alifika kutuokoa sisi.:/:



Uri kuririmba: Indirimbo ya 105 mu Nyimbo za wokovu