Indirimbo ya 107 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Alipoteswa yesu peke’ katika Gethsemane, akakinywea kwa upendo kikombe cha uchungu.
Mwokozi wangu alichukua yote, uzima wake ali’toa; kutuokoa alitufilia.
2
Akasimama peke yake kuchekwa na kupigwa, uchwani akatiwa taji iliyo ya miiba.
3
Akachukua msalaba njiani kwa Golgotha, na akajeruhiwa sana kwa’jili yetu sisi.
4
Na sasa, wewe mwenye dhambi, tazama pendo lake! Neema kubwa yakungoja; uache dhambi zako!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 107 mu Nyimbo za wokovu