Indirimbo ya 109 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu, unionye tena msalaba wako! Huo ni kisima safi chenye kusafisha.
Msalaba wako, Yesu, nausifu sana. Yesu, unilinde huko hata nikuone!
2
Huko niliona kwanza ne’ma yako kubwa, Nuru ikafika kwangu ‘toka msalaba.
3
Yesu, unilinde huko, unifaamishe jinsi ulivyochukua dhambi zangu zote!
4
Unilinde siku zote penye msalaba, nikuone, nikupende, sasa na milele!