Indirimbo ya 119 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Tuimbie msalaba wa Mwokozi, damu yake inatusafisha sana! Tunaweza kuwa huru, kwani Yesu alikufa ili ku’ondoa dhambi.
Haleluya, anipenda! Haleluya nafurahi! Haleluya, siku moja nitamwona Yesu!
2
Twafurahi kwa neema yake kubwa, alikuja ili tuwe na uzima. Kama njia ni nyembamba duniani, Yesu atatupa nguvu na ‘hodari.
3
Tuuimbe moto ule ‘takatifu uli’tupwa na Mwokozi duniani! Tuvipige vita vilivyo vizuri, nasi tutapewa taji ya uzima!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 119 mu Nyimbo za wokovu