Indirimbo ya 127 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Nimeuona mto safi, kisima cha ajabu, ni damu yake Yesu Kristo, inayonitakasa.
Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka huru kweli!
2
Kwa nia na dhamiri safi naendelea mbele, ninasafiri kwenda mbingu kuona raha yake.
3
Neema kubwa, nimeonja uheri mbinguni, maana damu yake Yesu imeniponya moyo!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 127 mu Nyimbo za wokovu