Indirimbo ya 130 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Ninataka kumsifu Yesu, Bwana wangu mwema. Aliteswa hata kufa, ili niwe huru kweli.
Mwimbieni Bwana Yesu kwa upendo wake ‘kubwa! Alilipa deni langu, nimewekwa huru kweli.
2
Ninataka ‘shuhudia pendo kubwa la Mwokozi, jinsi alivyoniponya nilipopotea mbali.
3
Ninasifu Mwokozi kwa uwezo wake bora; naye anitia nguvu nimshinde yule mwovu.
4
Ninataka kumwimbia Yesu Kristo, Bwana wangu. Aliniokoa kweli, niwe heri siku zote.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 130 mu Nyimbo za wokovu