Indirimbo ya 136 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Tuinue moyo tukisifu Yeye, aliyehukua dhambi zetu! Yesu, Mkombozi, asifiwe, aliyetufia sisi!
Yesu! Tumwabudu Yeye! Yesu! Sifu jina lake! Tuimbe kwa furaha duniani pote! Tumsifu, tumwabudu Yesu!
2
Malaika wote, msifuni Yesu! Nasi tushukuru Mkombozi! Watu wote wasikie sasa kwamba Mungu ni upendo!
3
Tushukuru Bwana Yesu, sisi sote, tukumbuke pendo lake kuu! Lisifiwe jina lake jema siku zote na milele!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 136 mu Nyimbo za wokovu