Indirimbo ya 152 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu alipolala kati’ kaburi, giza ilifunika Yesu Mwokozi.
Alifufuka hakika, akavunja nguvu ya mauti, mshindaji ju’ ya mamlaka yote; ni Mflme wa milele na milele, Alikuwa amekufa, na tazama amefufuka!
2
Walinzi wa kaburi walikimbia, muhuri na vifungo vilivunjika.
3
Mauti na pingo hazikuweza kumshika Yesu Mwokozi.