Indirimbo ya 162 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Bwana Yesu, uwe nami, bila wewe nina hofu, unikaribie sana, uwe kiongozi wangu!
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. Ninataka kufuata njia yako siko zote.
2
Bwana Yesu, uwe nami, kwani mimi ni dhaifu; na unifariji moyo kila siku ya huzuni!
3
Bwana Yesu, uwe nami siku zote safarini, zikiwako shida huku au raha na amani!
4
Bwana Yesu, uwe nami! Nahitaji nuru yako hata nitafika mbingu, kao letu la milele!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 162 mu Nyimbo za wokovu