Indirimbo ya 176 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Mungu akutaka kati’ shamba lake, nenda na wengine kumtumikia! Ujitowe kweli kwake Mungu wetu! Uhubiri neno lake pande zote!
2
Ukumbuke Yesu, jinsi apendavyo! Anawatafuta waliopotea. Uwapende nawe kwa upendo wake, naye atakupa nguvu na baraka!
3
Uliyemwamini nenda mbio sana kati’ shamba lake, usingoje bure! Utumike vema, omba kwa bidii, na thawabu yako utaipokea!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 176 mu Nyimbo za wokovu