Indirimbo ya 178 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu kutoka mbinguni aliingia huku chini ya giza na dhambi, ili atuokoe.
Nenda, nenda! Fanya mapenzi ya Yesu! Omba kupata sehemu kati’ ya mavuno makubwa!
2
Wanapotea gizani wengi wa ndugu zako. Nenda kapashe habari: “Leo wokovu uko”!
3
Nenda kawaubirie watu wa mataifa neno la Yesu Mwokozi! Anakuita leo.