Indirimbo ya 189 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Unihubiri habari njema, neno la ukombozi, hata ikiwa siufahamu wingi wa wema! Nilipokuwa katika giza, ndipo Mwokozi alinijia, na akanipa wokovu, raha na tumaini.
Mimi kipofu, naona sasa, anasikia maombi yangu, naye hatanisahau, kwani ananipenda.
2
Amefungua mkono wake, kuna wokovu humo; ukilemewa moyoni mwako, uje kwake Yesu! Uliyechoka kwa dhambi zako, umtazame Mwokozi wako, na utapata wokovu, njoo, anakupenda.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 189 mu Nyimbo za wokovu