Indirimbo ya 204 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Pendo la Mwokozi kubwa mno! Yesu akuita, ufike kwake sasa!
:/: Anangoja, anabisha, ufungue!:/:
2
Amengoja wewe siku nyingi, analia sana juu ya dhambi zako.
3
Kwa huruma nyingi akuita. ‘Geukie Mungu, anakungoja sasa!
4
Yesu atakupa raha kubwa na uzima tele ulio wa milele.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 204 mu Nyimbo za wokovu