Indirimbo ya 217 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Bwana Yesu atakuja kotoka mbinguni, atawachukua wote wanaomwamini.
Kama nyota za mbinguni watu wake watang’aa katika taji yake, kuwa sifa ya Yesu.
2
Atawakusanya wote waliompenda, watakuwa tunu yake milele mbinguni.
3
Na watoto watakuwa pamoja na Yesu, watang’aa kama lulu nyumbani mwa Baba.