Indirimbo ya 221 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
E’ mtoto, yainue macho yako mbinguni! Bwana Yesu huko juu, kwa upendo akuone.
2
Ukiomba asikia, akulinda mashakani; na anakuandalia kao zuri huko kwake.
3
Penda Yesu, mfuate, tii neno lake pia! Tena malaika wake watakuchukua kwake.