Indirimbo ya 225 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Lo! Bendera mbele yako, usihofu sasa! Usimame kwa imara kama Danieli!
Uwe mhodari kama Danieli! Weka makusudi mema bila kuogopa!
2
Wenye hofu hawawezi kuingia mbingu. Tweka tu bendera yetu, endelea mbele!
3
Mashujaa wa shetani wangeshindwa sana wakikuta jeshi la askari wa imani.
4
Endelea kwa kushinda, Yesu ni Mfalme! Taji ya uzima utapata huko juu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 225 mu Nyimbo za wokovu