Indirimbo ya 271 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Yesu mwenyewe apenda kuwaokoa wote.
Uwatafute wenzako wapoteao mbali! Pasha habari ya Yesu na ya wokovu wake!
2
Uwatafute wenzako kwa neno la upendo! Mungu atalibariki na kulithibitisha.
3
Uwatafute wenzako kwa’jili ya Mwokozi! Aliwakomboa wote, ni mali yake kweli.
4
Uwatafute wenzako kabla ajapo Yesu! Wasipotee kabisa, uwaokoe mbio!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 271 mu Nyimbo za wokovu