Indirimbo ya 293 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Nchi nzuri ya raha ajabu, kwa imani twaona si mbali. Baba atungojea sababu ametuandalia mahali.
:/: Tukutane sisi sote huko juu nyumbani mwa Baba!:/:
2
Huko juu kwa raha, amani tutaimba na kushangilia, kutolea Mwokozi shukrani kwa sababu alitufilia.
3
Baba wetu mpendwa na mwema kwake kuna furaha ya tele. Twamsifu kwa kuwa neema yatutosha kabisa milele.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 293 mu Nyimbo za wokovu