Indirimbo ya 298 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Ninao wimbo wakunifurahisha wa Mwokozi, wa Mwokozi. Namshukuru kwa roho yote pia, Mwokozi mzuri ninaye!
Mwokozi – wimbo wangu, Mwokozi, Mwokozi! Mahali pote na siku zote nitamsifu Yesu kati’ yote. Mwokozi ni wimbo wangu wa huku na Mbinguni.
2
Na jina moja ni lenye pendo tele: Yesu, Yesu, ndilo jina! Anipa yote niliyokosa mbele, Mwokozi mzuri ninaye.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 298 mu Nyimbo za wokovu