Indirimbo ya 303 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Nitamwimbia Mungu na furaha, kwa sababu alishinda shetani.:/: Kwa furaha punda zote za Farao, walizozipanda wote wakafa.:/:
:/: Kule ngambo, kule ngambo wa israeli walivuka, walipomwimbia nyimbo za Musa:/:
:/: Kule ngambo walivuka na furaha walipomwimbia nyimbo za Musa.:/:
2
Gari zote za askari kwa kupita, kwa kuwashambulia watu wa Mungu.:/: Wale wote mashujaa wa Farao, Mungu aliwafunikiza majini.:/:
3
Wanawake waliimba kwa furaha. Wakapiga vinubi kwatika shangwe:/: na nabii Miriamu akasema, msifuni Mungu wetu kwa furaha.:/:
4
Mwenyezi Mungu ni tumaini langu, tena Mungu anakuwa wimbo wangu.:/: Mwenyezi Mungu anipitia mbele, na tena ni yeye yuko ngao yangu.:/:



Uri kuririmba: Indirimbo ya 303 mu Nyimbo za wokovu