Indirimbo ya 305 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
:/: Sifa na sifa ninakupa Yesu, kweli nimwimbie Mungu:/::/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu.:/:
2
:/: Maombi yangu Bwana yakufikie, ee! Mungu wa heri yangu.:/:
3
:/: Sitaki kuomba-omba kama ndege, kulia-lia porini.:/:
4
:/: Na sasa roho yangu inasimama. Kweli nimwimbie Mungu.:/:
5
:/: Na watakatifu wanasimama, wanamwimbia Mwokozi.:/:
6
:/: Tuna huzuni ya wandugu wetu. Wako kwa giza ya dhambi.:/: