Indirimbo ya 31 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Katika safari yetu kwenda huko juu tusilale usingizi, tuwe na bidii!
Kaza mwendo tusifungwe, twende mbio tu! Yesu Kristo ni Mwokozi na Mfalme ‘kuu!
2
Bwana Yesu anatupa maji ya uzima, maji hai ya milele ya kuburudisha.
3
Njia na miiba mingi inatuzuia, hofu na hatari nyingi zina fadhaisha.
4
Mungu wetu atungoja huko kwake juu, Yesu ni Mwokozi wetu, tufuate Yeye!