Indirimbo ya 310 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Ukitafuta wokovu, dhambi zivutwe. Twakuletea habari, Yesu anakuita.
Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.
2
Ukipotea dhambini mbali na Mungu wako, Yesu aliyekufia anakuita leo.
3
Wewe uliyesikia mwito wa Yesu leo, usichelewe kufika, wakati wako leo.
4
Wengine walisikia, bali walipotea. Hawakujuwa wakati wao wakuokolewa.