Indirimbo ya 325 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Hapa katika dunia tunaachana mara nyingi. Lakini kwa Mwokozi wetu, hatutatengwa naye.
Baba Mungu awe pamoja nawe. Akulinde katika njia, Uende katika amani, Tu pamoja kwa maombi.
2
Tukitengwa na rafiki, tunatumaini kwa Mungu, Yeye atatufariji, kwa neema na upendo.
3
Adui wetu watatu, mwili, dunia na shetani. Uepuke wote hawa, ngao, neno lake Bwana.
4
Baba Mungu twakuomba, uchunge huyumwana wako. Pamoja na jamaa lake, hata siko ya milele.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 325 mu Nyimbo za wokovu