Indirimbo ya 329 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami, nikutumikie na niende Sayuni. (2x)
:/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:
2
Mavuno ni mengi, watenda kazi ‘chache. Ita wengi Bwana, waingie kazini. (2x)
3
Tuombe kwa bidii Bwana wa mavuno, atume watumishi kati shamba lake. (2x)
4
Bwana Yesu yu aja, na ujira wake, kulipa watumishi kama kazi zao. (2x)