Indirimbo ya 330 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu alipoenda alituachia kazi, na sasa tuifanye, kwani wakati wapita.
Uyainue macho, uyainue macho! Uyainue macho, uyatazame mavuno!
2
Usisimame bure, taifa wapotea usiku, wakabili, hakuna atendaye.
3
Aliyekwisha ‘lima, atazamapo nyuma hafai utumishi na ufalme wa Mungu.
4
Utapokea nini, ‘subuhi ya milele, watakapopata taji watumishi wa’minifu?