Indirimbo ya 337 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Tumpende Yesu aliye tupenda. Tutapata dhawabu tukimpenda.
:/: Bahari na mawimbi na upepo wavuma, utuongoze Bwana tuvuke nga’mbo:/:
2
Yesu alisema nitarudi tena kwachukuwa wote kwenda mbinguni
3
Tusiharibishwe na dunia hii, inapita upesi kama kivuli
4
Eh Yesu Mwokozi utuhurumie tunateswa na dhambi kwa dunia hii



Uri kuririmba: Indirimbo ya 337 mu Nyimbo za wokovu