Indirimbo ya 338 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Yesu alinipenda kwa maisha yangu alinifia kweli nami nitamshukuru
2
Bwana ni nguvu yetu sisi ni nyumba yake upokee wokovu usio nunuliwa
3
Umwamini Mwokozi njia ya msalaba kwake kuna amani uje usichelewe
Alinipenda Bwana wangu. Alinipenda kweli maisha yangu yote ni yeye ananipenda kweli.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 338 mu Nyimbo za wokovu