Indirimbo ya 339 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Watu wa ngambo ya Yordani waona mwanga Mkuu. WaGalilaya ya mataifa waona mwanga mkuu.
Yesu azaliwa, Giza limetoka twaona mwanga mkuu twa- twaona mwanga mkuu. Kweli-twaona mwanga mkuu.
2
Waliokwenda katika giza, waona mwanga mkuu Kwa ajili yao amezaliwa, waona mwanga mkuu
3
Namataifa washangilia, waona mwanga mkuu. Amezaliwa mtoto mme, Mwokozi wa amaini.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 339 mu Nyimbo za wokovu