Indirimbo ya 340 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Twendelee na kazi ya Bwana, maana inayo mwisho. Ndugu beba silaha za Bwana upigane na Shetani.
Bwana wangu, ninajua, mimi si wa dunia, Kabla sijafika juu mbinguni Bwana nitakuimbia.
2
Ndungu kumbuka kuwa rafiki, wa dunia ni kupotea. Fanya kazi ya Mungu ukijua Safari ya nyumbani yaja.
3
Usiseme “sikusikia, Habari ya Mwenyezi Mungu”. Kwani Neno limehubiriwa mahali mbali mbali sana.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 340 mu Nyimbo za wokovu