Indirimbo ya 341 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
:/: Neema ya Mungu ni kubwa kuliko makosa (na dhambi) Inatosha kusamehe Mimi na wenzangu:/:
:/: Mimi, ningekuwa wapi (na dhambi) Mzigo, nilikuwa nao zamani: Nilipokuwa chini ya sheria Sasa ni neema:/:
2
:/: Nitasema nini Mungu ni kwa upendo wangu A liyetoa, Mwana juu yangu: Mimi na wenzangu:/:
3
:/: Ishara naona mimi maskini kabisa (nipate) ondeleo la makosa, yangu na wenzangu:/:
4
:/: Neema ya Mungu ni kubwa Kuliko dhahabu (ni mali) Itoshayo kwa maisha, yangu na wenzangu:/:



Uri kuririmba: Indirimbo ya 341 mu Nyimbo za wokovu