Indirimbo ya 350 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Heri kama sauti yangu, imefika kwako we Mungu
Kwa mana wewe Mungu (baba) u mwingi; baba mwenye huruma Yesu kuja kukufia (sisi):/: Uyavute makosa yangu, Mungu Baba Mwana na Roho:/:
2
Heri kama ulimi wangu unakuimbia we Mungu
3
Heri Kama majina yangu yameandikwa kwako we Mungu.
4
Heri kama na nyumba yangu imekuwa tayari kwako.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 350 mu Nyimbo za wokovu