Indirimbo ya 351 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
:/: Tukae ndani ya Yesu, Naye ndani yetu. Ikiwa hatumo ndani yake, hatutapata uzima:/:
:/: Biblia yatueleza kwamba Yesu ni mzabibu wa kweli. Na tawi lisilozaa tunda, litaondolewa na kutupa motoni:/:
2
:/: Mfano huo ni kwetu, Yesu ni mzabibu na tukizaa matunda mema tutaingia mbinguni:/: