Indirimbo ya 352 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Mwombeni bwana wa mavuno ‘peleke watenda-kazi shambani. Shamba limeiva, mavuno mengi, watenda-kazi wachache sana.
Ndugu zetu tujikaze kutumika kazi zake, Tutalipwa kwa wakati tusipo zimia mioyo
2
Wandugu wengi wapotea hawajui Yesu na wokovu. Inueni vichwa mtazame kuwa mashamba yameiva.
3
Ole kwao wasio fanya kazi ambazo wamepewa. Watajikuta kati shida zitakapo tolewa taji.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 352 mu Nyimbo za wokovu