Indirimbo ya 357 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Ombeni nanyi mtapewa, Tafuteni nanyi , mtaona, Bisheni nanyi mtafungulia, asema Yesu.
:/: Kwa maana kila aombaye hupokea, kwa maana naye atafutaye ataona, Naye abishaye atafunguliwa:/:
2
Nani kwenu mtu ambaye, Mwanawe akimuomba mkate, Naye atamupa mwanaye jiwe, Enyi ndugu.
3
Kati yenu nani mwanawe, Akimuomba kula samaki, Naye atamupa mwanawe nyoka, Enyi ndugu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 357 mu Nyimbo za wokovu