Indirimbo ya 358 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
:/: Ee Yesu ingia rohoni kabisa, Unioshe niwe safi, Nakusihi, ee Bwana wangu.:/:
Makosa na dhambi ninazo ewe Bwana, Unioshe niwe safi, Nakusihi ee Bwana wangu.
2
:/: Ee Bwana sitaweza kusahau wokovu, Nilipata kwa njia ya Yesu Mwokozi wangu:/:
3
:/: Ee Bwana usikie ombi langu, Niombapo, Shuguli ninazo wazijuwa ee Bwana wangu:/: