Indirimbo ya 359 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Katika roho yangu, ninaomba uamsho, Bwana tuma uamsho, Ukaanze kwangu mimi.
:/: Bwana tuma uamsho:/: Bwana tuma uamsho, Ukaanze kwangu mimi.
2
Ndani ya roho zetu tunaomba Roho wako. Tuma moto wako Yesu uamshe roho zetu.
3
Katika siku hizi, roho zetu zasinzia, Tuamshe Bwana Yesu, tutoke kwa usingizi.