Indirimbo ya 360 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Bwana asema, nitume nani.:/: Na ninani atakaye kwenda badala yetu :/:
:/: Nitume mimi Bwana, Nitume mimi Bwana, Nitume mimi Bwana , Nitume mimi Bwana:/:
1
Midomo yangu, ni chafu sana,:/: Ulioshe kwa kaa la moto uitakase:/:
2
Ninaogopa, kuwa mdogo,:/: Kuhubiri neno lake Bwana pote niendako:/:
3
Waniambia, nisiogope,:/: Nitapata ujasiri mwingi kutoka kwako :/:



Uri kuririmba: Indirimbo ya 360 mu Nyimbo za wokovu