Indirimbo ya 38 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Nilikwenda mbali sana, ‘kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana.
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.
2
Na sikufikiri siku nitakapodhihirishwa mbele ya Mwenyezi Mungu, na kuhukumiwa naye.
3
Dhambi zilinichokesha, nikageukia Mungu, akasema neno nzuri la amani na furaha.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 38 mu Nyimbo za wokovu