Indirimbo ya 90 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu, Yesu, jina kubwa, nyimbo zao malaika!
:/: Limekuwa ndani yangu mto wa furaha bora:/:

2
Jina lake kama nyota, linanionyesha njia.
:/: Katika jaribu, shida, na usiku duniani.:/:

3
Ni mikono ya upendo yenye kunikumbatia.
:/: Hapo najificha vema, kama chombo bandarini.:/:

4
Jina hilo liwe kwangu, wimbo wa safari yangu!
:/: Niletewe wema nalo, toka nchi nzuri juu!:/: