Indirimbo ya 116 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Tuimbie, tumsifu Yesu ju’ya msalaba! Aliteswa na akafa, yote kwa ajili yetu. Akashinda, ‘kafufuka, ni Mwokozi ‘kamilifu.
Yesu alitukomboa, na akawa haki yetu. Dhambi aliziondoa, akatupa tumaini: Tutarithi utukufu, nuru, raha na uheri.
2
Yesu alipofufuka akatushindia kufa, akapewa nguvu zote duniani na mbinguni. Sisi sote tumepona kwa kupigwa kwake Yesu.
3
Tushukuru Mungu Baba kwa ajili ya upendo! Tumsifu Yesu Kristo kwa neema yake kubwa! Tumfungulie moyo kwake Roho ‘takatifu!



Uri kuririmba: Indirimbo ya 116 mu Nyimbo za wokovu