Indirimbo ya 311 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Mara kwa mara Yesu aita, umwitikie sasa. Yawezekana ni mara mwisho, anakuita sasa.
Wewe uliye dhambini, Yesu akutafuta. Akusamehe makosa, usichelewe ndugu.
2
Machangamko ya kidunia hayatakupata (sic) raha. Na mapendezo ya wenye dhambi yakudanganya sasa.
3
Giza ya kufa huja upesi, siku usipojua. Rafiki yangu usichelewe, kumpokea Yesu.
4
Roho ikiwa nzito na dhambi, Yesu anakujua. Akupokea vile ulivyo, tena utaokoka.
5
Mwito wa Mungu unakujia, mara kwa mara ndugu. Ukikataa kumpokea, utapotea kweli.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 311 mu Nyimbo za wokovu