Indirimbo ya 314 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kuomba ni agizo jema mno, kupata ni ahadi tamu kweli. Likiwa nene nguvu na matata; tazama afungaye kwa upendo.
Sifa kwa Mungu Baba wetu, Anawaunga wawili leo, Alicho unganisha Mungu Mwana adamu asitenganishe.
2
Tuombe kwa agizo la Mwokozi, tuliokuwa wenye kupotea, lakini sasa tunaunganishwa kwa jina lake Bwana Yesu Kristo.
3
Uwe rafiki yake Bwana Yesu, msiharibu pendo kwa maneno, mkiheshimu Mungu kati yote, amani ya Yesu ‘takuwa nanyi.
4
Mungu aliumba mme na mke na ikingali hivyo hata leo, na ninyi ndugu mnaunganishwa, katika jina lake Bwana Yesu.
5
Salamu hii toka sisi wote, neno la Mungu la kuwafariji. Wakolosai kwa sura ya tatu haya ya kumi na nane inatosha.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 314 mu Nyimbo za wokovu