Indirimbo ya 341 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
:/: Neema ya Mungu ni kubwa kuliko makosa (na dhambi) Inatosha kusamehe Mimi na wenzangu :/:
:/: Mimi, ningekuwa wapi (na dhambi) Mzigo, nilikuwa nao zamani: Nilipokuwa chini ya sheria Sasa ni neema :/:
2
:/: Nitasema nini Mungu ni kwa upendo wangu A liyetoa, Mwana juu yangu: Mimi na wenzangu :/:
3
:/: Ishara naona mimi maskini kabisa (nipate) ondeleo la makosa, yangu na wenzangu :/:
4
:/: Neema ya Mungu ni kubwa Kuliko dhahabu (ni mali) Itoshayo kwa maisha, yangu na wenzangu :/:



Uri kuririmba: Indirimbo ya 341 mu Nyimbo za wokovu