Indirimbo ya 344 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kunyakuliwa kwa kanisa, kama vile imetajwa, waliyo mwamini Mwokozi, watamukuta Yesu hewani.
Maandiko Matakatifu yanasema ju ya namba nne mm ya kunyakuliwa – Ya kwanza: kunyakuliwa kwa Henokia mm – Ya pili: Kunyakuliwa kwa Eliya mm – Ya tatu: Kunyakuliwa kwa Yesu – Ya nne: Kunyakuliwa kwa Kanisa mm amba sisi tulipo hai :/:
2
Waaminifu wa Bwana Yesu, Yesu yuaja upesi, kuchukuwa Kanisa lake ambao sisi tilio hai.
3
Waaminifu wa Bwana Yesu, tuwe hodari kwa Bwana, Kanisa litachukulia amba sisi tuliyo hai.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 344 mu Nyimbo za wokovu