Indirimbo ya 48 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Siwezi mimi kufaamu sana neema yake Mungu kwangu, zamani nilikuwa mkosaji, lakini alinisamehe.
Bali namjua Mungu, anayeweza kunilindia urithi wangu juu hata siku yake Yesu.
2
Siwezi mimi kufaamu sana upendo wake ‘kubwa mno; nimeamini neno lake kubwa kweli, na ninaona raha tele.
3
Siwezi kufaamu kazi kubwa ya Roho yake ndani yetu, anayeweza kufundisha mtu kutegemea Yesu.
4
Sijui mimi siku zangu tena za kutembea duniani. Na labda nitaona shida huku, taabu na huzuni nyingi.
5
Sijui mimi kama siku moja nitakuona kufa huku, au kwa hima nitabadilika, ajapo Bwana na mawingu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 48 mu Nyimbo za wokovu