Indirimbo ya 345 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Tumsifu mwokozi Yesu kwani’ ahadi zake zatimia mbio siku Bwana taporudi tapeleka wa kwake dunia pote (m m)
Kongo nao wanangoja… duniani pote Wa Rwanda nao wanangoja… duniani pote. Warundi nao wanangoja.. duniani pote. Nikawaambia hivi kwamba… duniani pote. Ya kuwa Yesu ni Mwokozi… duniani pote. Kweli, nitakwenda naye Mwokozi. Nipeleke injili duniani pote. Yesu wangu nipe uwezo. Nipeleke injili duniani pote (m m)
2
Ndugu zangu ninyi wakristo Tujiweke tayari tumngoje Yesu Kumbukeni yalisemwa katika makanisa duniani pote (m m)
Wazungu nao wanangoja… duniani pote Wafrika nao wanangoja… duniani pote. Nikawaambia hivi kwamba… duniani pote. Ya kuwa Yesu ni Mwokozi… duniani pote. Kweli, nitakwenda naye Mwokozi. Nipeleke injili duniani pote. Yesu wangu nipe uwezo. Nipeleke injili duniani pote (m m)



Uri kuririmba: Indirimbo ya 345 mu Nyimbo za wokovu