Indirimbo ya 12 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Kwa badala yangu kweli Yesu alitoa damu. Mimi huru na ni heri, Bwana Yesu asifiwe.
Yesu alinikomboa, lakini si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali damu ya Mwana ni malipo kwa ajili yangu, haleluya!
2
Tu’inue msalaba, hata wote wataona Mwana wake Mungu, hapo alitoa damu yake!
3
Dia (sic) kubwa, Yesu Kristo! Wingi sana wa upendo: Yesu aliacha mbingu, alitufilia wote.
4
Sitaweza kufahamu bei ya wokovu wangu, bali ninajua sana: Yesu alinikomboa.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 12 mu Nyimbo za wokovu