Indirimbo ya 248 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Yesu akiniongoza sitaanguka, sitaanguka. Ni Mfalme mtukufu, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.
Wakati huu, hata milele apita vyote vya dunia. Yesu amenichagua, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.
2
Yesu amenipa raha, ni kiongozi, ni kiongozi. Anaka’ moyoni mwangu, Yesu Mwokozi, Yesu Mwokozi.
3
Nilikuwa kama chungu kilichovunjwa, kilichovujwa. Sasa nimeokolewa na Bwana Yesu, na Bwana Yesu.
4
Nitakapofika mbingu nitamsifu, nitamsifu Yesu kwa upendo wake, Mwokozi wangu, Mwokozi wangu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 248 mu Nyimbo za wokovu