Indirimbo ya 353 mu NYIMBO ZA WOKOVU

1
Mafikiri yangu, huwa ila mbingu, sina majaribu na huzuni tena. Kwa milele nitapumzika pale, sitaona chozi kamwe mara tena.
:/: Ninapenda sana kuwa pale juu :/: Kwa milele nitamwona Bwana Yesu, Ninapenda sana kuwa pale juu.
2
Kati mji mpya, roho haiumie, Umaskini na mateso yataisha. Dhambi haingii nasumbua roho, kama niliisha kuingia mbingu.
3
Kati mji mpya, tutaona ndugu, Hatutatengwa mara tena pale juu. Kwa milele tutamshukuru Yesu, tutapoonana kwa Yerusalemu.
4
Mkumbuke pendo kubwa la Mwokozi. Alishuka kutufia sisi sote. Kwa imani tutaona kuja kwake atatuchukuwa kwa Yerusalemu.



Uri kuririmba: Indirimbo ya 353 mu Nyimbo za wokovu